Oral Literature In Kiswahili Question Paper
Oral Literature In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education
Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers
Exam Year:2013
JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
UNIVERSITY EXAMINATION 2013
2ND YEAR 2ND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION ARTS WITH IT (KISUMU)
COURSE CODE: AKI 203
TITLE: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI
DATE: TIME: DURATION: 2 HOURS
INSTRUCTIONS
1. This paper contains FIVE (5) questions
2. Answer question 1 (Compulsory) and ANY other 2 Questions
3. Write all answers in the booklet provided
1. ‘Fasihi simulizi ndio uti wa mgongo wa fasihi ya Kiswahili.” Ichanganue kauli hii kwa
kujadili dhana ya fasihi simulizi na kulinganisha utanzu huu na ule wa fasihi andishi.
(alama 30)
2. Kwa kurejelea ushairi na ngano jadili nafasi na dhima ya fasihi simulizi katika jamii.
(alama 20)
3. Zichanganue tanzu na fani zozote nne za fasihi simulizi huku ukitoa mifano kutoka jamii
mbalimbali za kiafrika. (alama 20)
4. ‘Fasihi simulizi imepitwa na wakati.’ Toa maoni yako kuhusiana na kauli hii kwa
kuzingatia mbinu na vifaa vya utafiti wa fasihi simulizi katika muktadha wa jamii ya
sasa. (alama 20)
5. Teknolojia ya mawasiliano imechangia katika maendeleo ya fasihi simulizi. Jadili
(alama 20)
More Question Papers