Edk 101: Introduction To Kiswahili Literature Question Paper
Edk 101: Introduction To Kiswahili Literature
Course:Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2016
ANSWER QUESTION ONE AND ANY OTHER TWO QUESTIONS
SWALI LA KWANZA.
a) Eleza dhana ya fasihi ya kiswahili. (alama 4)
b) Onyesha tofauti zozote nne kuu zilizopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi. (alama 4)
c) Taja dhima ya fasihi katika jamii. (alama 4)
d) Eleza mwingiano wa taaluma hizi na fasihi.
i) Saikolojia
ii)Falsafa (alama 4)
e) Kwa kurejelea vitabu ulivyosoma, tofautisha kati ya mhusika duara na mhusika bapa. (alama 4)
f) Eleza jukumu la mhakiki katika kazi ya fasihi. (alama 4)
g) Kwa kutoa mifano, tofautisha katibya fani na maudhui katika kazi ya fasihi. (alama 6)
SWALI LA PILI
Katika tamthiliabya kilio cha haki kuna vilio kadha na kila kilio kina maana yake. Fafanua kauli hii. (alama 20)
SWALI LA TATU
Jadili swali la uchafuzi wa mazingira kwa kurejelea mashairi mbalimbali kutoka Bara jingine. (alama 20)
SWALI LA NNE
Kuna kiu nyingine katika riwaya kiu. Thibitisha. ( alama 20)
SWALI LA TANO
"Mtu ni utu." Eleza ni namna gani hali hii inajitokeza katika utubora mkulima. (alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes