Kis 110: Introduction To Language And Linguistic In Kiswahili Question Paper
Kis 110: Introduction To Language And Linguistic In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2016
JIBU SWALI LA KWANZA NA MASWALI MWNGINE MAWILI.
SWALI LA KWANZA.
a.Fafanua tanzu zifuatazo za isimu.
i) Isimu Elekezi
ii)Isimu Linganishi
iii)Isimu Nafsi. ( alama9)
b.Tofautisha kati ya:
i)Fonetiki na fonolojia
ii)'Langue' na 'parole' (alama12)
c)Binadamu haezi ishi bila lugha. Jadili.( alama9)
SWALI LA PILI
a.Eleza dhana ya lugha.(alama5)
b.Tathmini nadharia za chimbuko la lugha.(alama15)
SWALI LA TATU
Fafanua sifa zozote tano za kisayansi zinazodhihirika katika uchunguzi wa lugha.(alama20)
SWALI LA NNE
a.Jadili dhana za mofolojia na semantiki.(alama10)
b.Tongoa malengo yoyote matano ya sintaksi.(alama10)
SWALI LA TANO
a)Jadili dhana ya ujuzi wa lugha.(alama12)
b)Fafanua maendeleo ya taaluma ya isimu katika katika kipindi cha kati.(alama8)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes