Edk 103:Historia Ya Kiswahili Question Paper
Edk 103:Historia Ya Kiswahili
Course:Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2016
Jibu swali LA kwanza na maswali mengine mawili
1.a)Eleza asili ya dhana waswahili(alama 4)
b)Eleza aina tatu ya waswahili kutegemea asili yao(alama 9)
c)Toa sababu tano zilizozuia misafara ya waarabu kupitia Kenya(alama 10)
d)Kwa nini kiunguja kiliteuliwa kama kiswahili sanifu?(alama 4)
e)Taja idhaa za kimagharibi zinazotangaza kiswahili(alama 4)
2.Jadili dhima ya kiswahili (alama 20)
3.Eleza changamoto zinazokabili kamati ya I.L.C (alama 20)
4.Jadili nadharia tatu kuhusu chimbuko la kiswahili (alama 20)
5.Eleza mambo kumi yanayochangia maenezi ya kiswahili kote ulimwenguni katika karne ya 21 (alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes