Aks 401: Second Language Learning Question Paper
Aks 401: Second Language Learning
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2008
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING
DATE: Wednesday 9th January 2008
TIME: 8.00am ? 10.00am
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO: Jibu maswali matatu. Swali la KWANZA ni la lazima.
1. Jadili sababu ambazo huwafanya watu kujifunza lugha ya pili.
(Alama 26)
2. Fafanua maana ya dhana zifuatazo:
(a) Umilisi
(b) Utendaji
(c) Mzawa wa Lugha
(Alama 22)
3. Eleza jinsi matokeo ya utafiti wa lugha ya pili yanaweza kuchangia uandishi wa
vitabu bora vya wanafunzi wa lugha hiyo.
(Alama 22)
4. Fafanua mbinu tatu zozote ambazo hutumiwa katika utafiti wa lugha ya pili.
(Alama 22)
5. Kwa kuzingatia nadharia ya Uchambuzi Makosa (Norrish, 1983), bainisha hatua
ambazo hufuatwa katika uchanganuzi wa makosa ya wanafunzi katika insha.
(Alama 22)
6. Jadili mchango wa hulka ya mwanafunzi katika kujifunza lugha ya pili.
(Alama 22)
============
More Question Papers
Exams With Marking Schemes