Aks 402: Kiswahili Poetry Question Paper
Aks 402: Kiswahili Poetry
Course:Kiswahili Poetry
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2017
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2016/2017
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 402: KISWAHILI POETRY
DATE: TUESDAY 9TH MAY 2017
TIME: 8.00AM- 10.00AM
MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU. SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA.
1.a) Fafanua dhana ya ushairi kwa mujibu wa wanamapokeo. (alama 10)
b) Fafanua asili ya ushairi wa kiswahili. (Alama 20)
2. Ushairi wa kiswahili una historia ndefu sawa na historia ya mswahili mwenyewe. Jadili. (alama 20)
3. Fafanua mawazo ya wanajadi yaliyopelekea kuibuka kwa mgogoro wa ushairi wa kiswahili. (alama 20)
4. Fafanua dhamira zozote tano muhimu katika; utenzi wa Al-Inkishafi au, utenzi wa Mwana Kupona. (alama 20)
5. Jadili sababu za ugumu wa ushairi wa Kiswahili miongoni mwa wanafunzi wa Kiswahili. (alama 20)
6. Kwa kurejelea ushairi wa ama; Shaaaban Robert, Euphrase Kezilahabi au Kitula King'ei, Jadili hoja zozote tano zenye ushairi muhimu kwa jamii ya leo ya Kenya. (alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes