Aks 400: Sociolinguistics Question Paper
Aks 400: Sociolinguistics
Course:Bachelor Of Education
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2015
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2015/2016
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 400: SOCIOLINGUISTICS
DATE: THURSDAY 26TH NOVEMBER 2015 TIME: 11.00AM- 1.00PM
MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU, SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA.
1. "Huwezi kutenganisha lugha na jamii". Fafanua. (alama 26)
2.Fafanua sifa ambazo huzingatiwa katika uteuzi wa lugha ya taifa.(alama22)
3. Eleza uhusiano uliopo kati ya isimu jamii na mtindo. (alama 22)
4. "Kufundisha watoto kwa kutumia lugha zao za kwanza ni kupoteza wakati".Jadili kauli hii. (alama 22)
5. Eleza hali mbalimbali zinazochangia kufa kwa lugha kisha upendekeze namna ambavyo hali hizo zinavyoweza kukabiliwa. (alama 22)
6. Bainisha uhusiano uliopo kati ya isimu jamii na jinsia. (alama 22)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes