Kisw 312: Nathari Na Riwaya Za Kisasa Question Paper
Kisw 312: Nathari Na Riwaya Za Kisasa
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Egerton University question papers
Exam Year:2016
EGERTON UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
REGULAR- NJORO CAMPUS
FIRST SEMESTER, 2016/2017 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
(ARTS) & BACHELOR OF ARTS
KISW 312: NATHARI NA RIWAYA ZA KISASA
STREAM: B. ED (ARTS) & B.A TIME: 2 HOURS
EXAMINATION SESSION: DECEMBER YEAR: 2016
MAAGIZO:
(i) Jibu maswali MATATU.
(ii) Swali la IOVANZA ni la LAZIMA.
(iii)Usiandike CHOCHOTE kwenye karatasi ya maswali.
ali la Kwanza
Jadili dhana zifuatazo kwa kutolea mifano kwenye Riwaya za Kisasa na Kale:
a) Utumiaji Lugha Kisanaa. (Alama 9)
b) Umithilishaji (Alama 8)
c) Ubunilizi
,ali la Pili
Pambanua aina Tatu zozote za mahusiano ya utungo wa riwaya:
Swali la Tatu (Alama 9)
(Alamaa 22)
Jadili Historia na Usasajuu ya nafasi ya [Jana katika Riwaya Kiswahili. (Alama 22)
swali la Nne
Kwa kutoa mifano mwafaka, fafanua Sifa Bainifu TANO za Riwaya za Kiswahili za Karne ya
21. (Alama 22)
Swali la Tano
Kwa kutoa mifano elezea dhana zifuatazo:
a) Fantasia. (Alama 6)
b) Riwayaya Majañbio. (Alama 5)
c) Riwaya ya Kisayansi. (Alama 5)
d) Uhalisia-Mañngaombwe- (Alama 6)
Page 2 of 2
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers