Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kisw 311: Kiswahili Syntax Question Paper

Kisw 311: Kiswahili Syntax 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Egerton University question papers

Exam Year:2015



KISW 311
EGERTON UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
REGULAR - NJORO CAMPUS
SECOND SEMESTER, 2014/2015 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR EXAMINATION FOR THE AWARD OF DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
EDUCATION(ARTS)
KISW 311: KISWAHILI SYNTAX
STREAM: BIA, B.ED (Arts) TIME: 2HRS
EXAMINATION SESSION: MAY
MAAGIZO:
a)Jibu maswali matatu
b)Swali la kwanza ni lazima
Swali la kwanza YEAR: 2015
a) Eleza umuhimu na udhaifu wa mtazamo wa kimapokeo wa sintaksia (alama 12)
b) Taja na ueieze mbinu nne za kutambulisha migao ya sintaksia
Swaii la pili (alama 12)
a) Onyesha miundo ya kikundi nomino na kikundi tenzi cha Kiswahili
b) Andika kanuni, kisha,chora vielelezo matawi kwa sentensi zifuatazo:
i) Dalili ya mvua ni mawingu (alama 10)
ii) Rehema amekuwa akifundisha kwa siku nyingi sana (alama 13)

Swali la tatu
Fafanua kikamiiifu mageuko matatu yanayojitokeza katika sentensi za Kiswahili
Swali la nne (alama 23)
"Dhana za umbo nje na umbo ndani zimefanikisha sintaksia" Tathmini kauli hii
Swali la tano (alama 23)
Kwa kutoa mifano ya sentensi, bainisha aina kuu za mifumo ya urejeleaji
Swali la sita (alama 23)
a)Eleza umuhimu na utata wa kuainisha dhima za kileksia katika sentensi za Kiswahili (alama 15)
b)Kwa kutoa mifano,tofautisha dhima za kileksia na dhima za kisarufi (alama 8)


"Transforming Lives through Quality Education "
Egerton University is ISO 9001:2008 Certified
Page 2 of 2






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers