Bks 211: Masuala Ya Kijinsia Katika Fasihi Question Paper
Bks 211: Masuala Ya Kijinsia Katika Fasihi
Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili
Institution: Maasai Mara University question papers
Exam Year:2017
MAASAI MARA UNIVERSITY
REGULAR UNIVERSITY EXAMINATIONS
2016/2017 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR SEMESTER FIRST SEMESTER
SCHOOL OF ARTS AND SOCIAL SCIENCE
BACHELOR OF ARTS IN KISWAHILI
COURSE CODE: BKS 211
COURSE TITLE: MASUALA YA KIJINSIA KATIKA FASIHI
MAAGIZO
Jibu jumla ya maswali matatu. Swali LA kwanza ni lazima.
SWALI LA KWANZA
a) Eleza dhana zifuatazo:
i) Jinsia
ii) Uana (alama 6)
b) Eleza mihimili inayojitokeza katika nadharia ya Unisai wa kiafrika. (alama 10)
c) Thibitisha kuwa utenzi wa mwanakupona umeegemea mfumo wa kuumeni. (alama 14)
SWALI LA PILI
Eleza taswira ya mwanamke katika riwaya ya utengano (Said Ahmed) (alama 20)
SWALI LA TATU
Utamaduni wa Kiafrika umekuwa ni kikwazo kwa ukombozi wa mwanamke. Thibitisha ukirejelea tamthilia ya kilio cha haki. (alarm 20)
SWALI LA NNE
Mwachofi katika tamthilia ya mama ee amewaisawiri ndoa kuwa ni dhuluma kwa mwanamke. Fafanua. (alama 20)
SWALI LA TANO
Eleza jinsi mwanamke amesawiriwa katika nyimbo za arusi ya jamii yako. (20 marks)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes