Kis 210: Theory And Analysis Of Kiswahili Literature Question Paper
Kis 210: Theory And Analysis Of Kiswahili Literature
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Maasai Mara University question papers
Exam Year:2017
MAASAI MARA UNIVERSITY
REGULAR UNIVERSITY EXAMINATIONS
2016/2017 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMESTER
SCHOOL OF ARTS AND SOCIAL SCIENCES
BACHELOR OF EDUCATION(ARTS)
COURSE CODE: KIS 210
COURSE TITLE: THEORY AND ANALYSIS OF KOSWAHILI LITERATURE
MAAGIZO
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza lazima.
SWALI LA KWANZA
Fasihi ni mwigo wa uigaji. Jadili kauli hii kwa kurejelea mawazo ya Aristotle. (alama 30)
SWALI LA PILI
Jadili sifa za mhusika Dzombo kwa kurejelea riwaya ya Walenisi ya Katama Mkangi. (alama 20)
SWALI LA TATU
Fafanua faida za nadharia katika uhakiki wa fasihi. (alama 20)
SWALI LA NNE
Eleza malego ya uhakiki. (alama 20)
SWALI LA TANO
Jadili mahusiano yaliyopo kati ya fasihi na jamii. (alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes