Aks 401: Second Language Learning Question Paper

Aks 401: Second Language Learning 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Machakos University question papers

Exam Year:2017



MACHAKOS UNIVERSITY
University Examinations 2016/2017
SCHOOL OF HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCE
DEPARTMENT OF LINGUISTICS AND LANGUAGES
FOURTH YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR BACHELOR OF ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING
DATE: 24/7/2017 TIME: 8:30- 10:30 AM
MAAGIZO:
Jibu maswali MATATU. Swali la KWANZA ni la LAZIMA.
1. a) Eleza dhana zifuatazo katika muktadha wa ujifunzaji wa lugha ya pili.
( alama 10)
i) Lugha ya pili
ii) Lugha lengwa
iii) Lugha kadirifu
iv) Kupokea Lugha
v) Utendaji wa Lugha
b) Fafanua sababu zozote tano za kimatumizi zinazowafanya watu kujifunza Lugha ya pili.
( alama 10)
c) Jadili vipengele vitano vya hulka ya wanafunzi vinavyoweza kuchangia au kutatiza juhudi za kujifunza Lugha ya pili.
( alama 10)
2. a) Tathmini mbinu zifuatazo ambazo hutumiwa kukusanya data katika utafiti wa Lugha ya pili.
i) Mahojiano
ii) Utazamaji
iii) Mazoezi ya kukamilisha
b) Jadili umuhimu wa utafiti wa Lugha ya pili kwa walimu wa lugha hiyo. ( alama 5)
3. Bainisha mikakati ya mawasiliano ambayo hutumiwa na wanafunzi wa lugha ya pili ili kuomba msaada kutoka kwa wasikilizaji wao wanapokabiliana na vikwazo vya mawasiliano. ( alama 20)
4. Huku ukirejelea nadharia ya Uchanganuzi Makosa, onyesha jinsi nadharia hii inavyoweza kutumiwa katika insha za wanafunzi wa lugha ya pili. ( alama 20)
5. Jadili mchango wa taaluma ya Isimu - jamii katika ufafanuzi wa masuala yanayohusu lugha ya pili. ( alama 20)



 

Aks 401: Second Language Learning question paper





More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers