Cks 101: Communication Skills In Kiswahili Question Paper
Cks 101: Communication Skills In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education
Institution: South Eastern Kenya University question papers
Exam Year:2016
SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2016/2017
FIRST SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION
CKS 101: COMMUNICATION SKILLS IN KISWAHILI
DATE: IST DECEMBER, 2016 TIME: 1.30-3.30PM
MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.
1. (a) Fafanua dhana zifuatazo: (alama 8)
(i) Lugha
(ii) Mawasiliano
(b) Jadili vipengele vya mawasiliano (alama 12)
(c) Eleza mawanda ya mawasiliano (alama 10)
2. ‘Hotuba nzuri huwa na sifa bainifu.’ Fafanua kauli hii. (alama 20)
3. Eleza mambo yanayotofautisha sajili moja kutoka kwa nyingine.
(alama 20)
4. Bainisha matumizi ya alama zifuatazo za kuakifisha. (alama 20)
(a) kituo
(b) mkato
(c) kistari kifupi
(d) parandesi
(e) alama za mtajo.
5. Fafanua hatua bora zinazofuatwa katika kuandaa muhtasari. (alama 20)
6. Jadili sehemu kuu katika insha ya kitaaluma. (alama 20)
Marking Scheme/Answers
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers