Cks 303: Nadharia Za Uhakiki Wa Fasihi Question Paper
Cks 303: Nadharia Za Uhakiki Wa Fasihi
Course:Bachelor Of Education
Institution: South Eastern Kenya University question papers
Exam Year:2016
SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2016/2017
FIRST SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION
CKS 303: NADHARIA ZA UHAKIKI WA FASIHI
DATE: 5TH DECEMBER, 2016 TIME: 4.00-6.00PM
MAAGIZO:
Jibu maswali matatu, swali la kwanza ni la lazima.
1. a) Fafanua sifa za nadharia nzuri (al. 20)
b) Eleza shabaha la uhakiki (al. 10)
2. Fafanua aina zifuatazo za uhakiki (al. 20)
i) Uhakiki wa kitaaluma
ii) Uhakiki wa kisadfa
iii) Uhakiki wa kipropaganda
iv) Uhakiki wa uhariri
v) Uhakiki wa ufundishaji wa fasihi
3. Jadili mihimili ya nadharia ya Ulimbwende. (al. 20)
4. a) Eleza majukumu ya nadharia katika kazi za fasihi (al. 20)
5. Tumia nadharia ya utamaushi kuhakiki tamthilia ya Kaptula la Marx. (al. 20)
6. Kwa kuzingatia nadharia ya uhalisia, hakiki vipengele vifuatavyo katika riwaya ya
Utubora Mkulima.
i) Wahusika
ii) Mtindo
iii) Mbinu za lugha (al. 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes