Cks 409: Semantics, Lexicology & Lexicography Question Paper
Cks 409: Semantics, Lexicology & Lexicography
Course:Bachelor Of Education
Institution: South Eastern Kenya University question papers
Exam Year:2016
SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2016/2017
FIRST SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION
CKS 409: SEMANTICS, LEXICOLOGY & LEXICOGRAPHY
DATE: IST DECEMBER, 2016 TIME: 4.00-6.00PM
MAAGIZO:
JIBU MASWALI MATATU, SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA
1. (i) Maana ndicho kipengele muhimu sana katika uchaambuzi wa lugha ya
mwanadamu. Jadili kauli hii kwa kuangazia lugha ya Kiswahili. (Alama 12)
(ii)Eleza kwa kutumia mifano kutoka katika lugha ya Kiswahili taratibu nne
zinazotumiwa kuchambua maana. (Alama 12)
(iii) Kwa kutumia mifano, tofautisha kati ya:
(a) Maana ya kisarufi.
(b) Maana ya kileksia. (Alama 6)
2. (a) Eleza mahusiano yafuatayo ya kifahiwa:
(i) Haiponimia
(ii) Homonimia
(iii) Polisemia
(iv) Antonimia (Alama 12)
(b) Onyesha jinsi usinonimia unavyodhihirika katika lughaya Kiswahili. (Alama 8)
3. (i) Fafanua dhana zifuatazo katika mkabala wa jinsi zinavyoathiri mikondo ya maana
katika sentensi:
(a) Uhusika
(b) Uchukulio
(c) Ujumlishaji (Alama 12)
4. Jadili nadharia zozote mbili za semantiki. (Alama 20)
5. (a) Ainisha ngeli za Kiswahili ukitumia kigezo cha kisemantiki. (Alama 12)
(b) Uainishaji huu una udhaifu gani ukilinganishwa na vigezo vingine vya uainishaji.
(Alama 8)
6. (a) Semantiki ina uhusiano mkubwa na sintaksia.Thibitisha (Alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes