Aks101: Language Skills In Kiswahil Question Paper
Aks101: Language Skills In Kiswahil
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2017
KENYATTA UNIVERSITY
DEPARTMENT OF KISWAHILI
AKS101:LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI
CAT ONE SEMESTER 1 2017/2018 TIME:1
MAELEKEZO:
1.Jibu maswali yote.
2.Usisahau kuandika jina lako na nambari yako ya usajili katika karatasi ya majibu.
1a.fafanua maana ya dhana hizi.
i. Lugha ii. Mawasiliano iii. Mchakato wa mawasiliano (alama 6)
b.Eleza maana ya ubia wa lugha.
(alama 2)
c.fafanua kuhusu sifa zifuatazo za lugha. (alama8)
i.Uhamishaji ii.Unasibu iii.Uzalishaji iv.Uwili lugha.
2a.Ni nini maana ya umilisi wa mawasiliano? (alama2)
b.Taja na ueleze kwa kina kuhusu vipengele vinne vya umilisi wa mawasiliano. (alama12)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes