Aks102: Historical And Current Development In Kiswahili Question Paper
Aks102: Historical And Current Development In Kiswahili
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2017
KENYATTA UNIVERSITY
DEPARTMENT OF KISWAHILI AND AFRICAN LANGUAGES
KITUI CAMPUS CAT ONE 2017/2018 SEMESTER 1
AKS102: HISTORICAL AND CURRENT DEVELOPMENT IN KISWAHILI
MAAGIZO
Jibu maswali yote.
1.Taja natharia tatu zinazo eleza kuchimbuka kwa kiswahili. (alama3)
2.Kusoma historia ya kiswahili kuna faida zipi kwa mwanafunzi. (alama)
3.Taja vikwazo vitatu vilivyotatiza maenezi ya kiswahili kutoka pwani ya kenya hadi bara kabla ya uhuru (alama3)
4.Taja wamishenari wawiki waliokikuza na kukisambaza kisawhili Afrika Mashariki. (alama2)
5.Dhihirisha njia tatu kuonyesha jinsi warabu walivyo changia maenezi ya kiswahili. (alama3)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes