Cks 301: Theory Of Kiswahili Syntax Question Paper

Cks 301: Theory Of Kiswahili Syntax 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2015



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE
DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)

CKS 301: THEORY OF KISWAHILI SYNTAX

DATE: 17TH AUGUST, 2016 TIME: 2.00 –4.00 PM

MAAGIZO
JIBU MASWALI MATATU PEKEE, SWALI LA KWANZA NI LAZIMA

1 (a) Eleza kwa tafsili maana ya nadharia ya sintaksia (alama 4)
(b) Eleza kwa undani matumizi ya dhana hizi katika sarufi mapokeo: (alama 12)
i) Neno
ii) Sentensi
ii) Kirai

iv) Kishazi
(c) Huku ukitumia mifano maridhawa, jadili mbinu sita za ugeuzaji. (alama 14)

2 . Nadharia ya sarufi jadi/ mapokeo iliweka msingi wa uchanganuzi wa sarufi. Thibitisha. (alama 20)

3 a) Fafanua namna kanuni miundo virai zinavyotumiwa kuzalisha sentensi. (alama 8)
b) Changanua sentensi zifuatazo kwa kutumia kielelezo matawi cha miundo virai:

i) Mtoto huyu mwema alituzwa na mwalimu mkuu.
ii) Vyake vyote vilipatikana jana asubuhi.
ii) Msanifu anafunza lakini wanafunzi wake hawataki kuelewa (alama 12)

4 (a).Tofautisha dhana zifuatazo:
i) umilisi na utendaji
ii) Umbo la ndani na umbo la nje
iii) Langue na Parole (alam 12)
(b) Jadili vitambulishi (mihimili) vinne vya sarufi zalishi (alama 8)

5.“Katikasarufimsonge lugha huchukuliwa kama mfumo mkuu wenye mifumo mingine ndani

mwake.”Thibitisha. (alama 20)

6.(a) Fafanua mambo manne yanayozingatiwa katika uchanganuzi wa kiuambajengo.
(alama 8)

(b) Eleza waziwazi misingi ya nadharia ya sarufi fafanuzi/ miundo na udhaifu wa uchanganuzi wa kiuambajengo. (alama 12)











































More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers