Cks 303: Literary Theory And Analysis Question Paper
Cks 303: Literary Theory And Analysis
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: South Eastern Kenya University question papers
Exam Year:2015
SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE
DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
CKS 303: LITERARY THEORY AND ANALYSIS
DATE: 17TH AUGUST, 2016 TIME:8.30 –10.30 AM
MAAGIZO:
Jibu maswali matatu, swali la kwanza ni la lazima.
1. a) Eleza dhana zifuatazo:
i) Nadharia.
ii) Nadharia ya kifasihi.
iii) Nadharia ya kiuhakiki. (alama 6)
b) Fafanua kwa kina dhima ya nadharia za uhakiki wa kifasihi. (alama 10)
c) Jadili hatua za kisayansi zinazofuatwa katika kuunda nadharia. (alama 14)
2.Fafanua namna nadharia ya umuundo inavyoweza kumsaidia msomaji kuelewa kazi ya kifasihi. (alama 20)
3. Tumia mihimili ya Kifeministi kuchanganua tamthilia ya Kifo Kisimani (Kithaka Wa Mberia) (alama 20)
4. Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea imesheheni sifa za kisemiotiki. Thibitisha. (alama 20)
5. Eleza kwa undani mihimili ya nadharia za kifasihi zifuatazo:
a) Udhanaishi.
b) Udenguzi.(alama 20)
6. Jadili vipengele vinavyozingatiwa katika uhakiki wa mashairi. (alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes