Cks 304: Introduction To Translation Question Paper
Cks 304: Introduction To Translation
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: South Eastern Kenya University question papers
Exam Year:2015
SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR
THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
CKS 304: INTRODUCTION TO TRANSLATION
DATE: 16TH AUGUST, 2016 TIME:8.30- 10.30 PM
MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU LA KWANZA NI LA LAZIMA NA MENGINE MAWILI.
1. (a) Fafanua aina za tafsiri. (alama 12)
(b) Eleza dhima ya tafsiri katika jamii. (alama 18)
2. Onesha hatua muhimu ambazo tafsiri imeweza kupitia. (alama 20)
3. Jadili nadharia tatu zinazo ongoza shughuli za tafsiri. (alama 20)
4. Fafanua changamoto ambazo mtafsiri hukumbana nazo. (alama 20)
5. ‘Tafsirinjemahufuatautararatibu maalum.’ Thibitisha(alama. 20)
6. Eleza mambo ya kuzingatia katika kuhakikiwa matini tafsiri ya habari.
(alama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes