Cks 403: Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Cks 403: Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: South Eastern Kenya University question papers

Exam Year:2015



SOUTH EASTERN KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2015/2016

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE
DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)

CKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI

DATE: 18TH AUGUST, 2016 TIME: 2.00 –4.00 PM
MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU LA KWANZA NI LA LAZIMA NA MENGINE MAWILI.
1 (a) Huku ukizingatia fafanuzi za wataalamu wawili,eleza kwa tafsili dhana fasihi
simulizi. (alama 10)
(b) Eleza matumizi na nafasi ya fasihi simulizi katika jamii. (alama 10)
(c) Fafanua vipengele muhimu vya fasihi. (alama 10)
2 (a) Huku ukirejelea wataalamu mbali mbali toa maana ya fani. (alama 6)
(b) Eleza njia za kuainisha vipengele vya fani katika fasihi simulizi.(alama 7)
(c) Eleza umuhimu wa fani katika tanzu za fasihi simulizi. (alama 7)
3 Fafanua njia mbili zinazotumiwa kuzigawa tanzu za fasihi simulizi katika matawi.
mbali mbali huku ukizingatia faida na upungufu wa njia hizi. (alama 20)


4 (a) Kwa kuzingatia muktadha wa fasihi simulizi eleza maana ya ‘kigezo’ (alama 4)

(b) Huku ukitoa mfano mmoja,fafanua vigezo vyote vya kugawa fasihi simulizi katika

tanzu. (alama 16)


5. (a) Fafanua maana ya utafiti. (alama 5)

(b) Eleza hatua zinazofuatwa katika utafiti wa kisayansi kwa mujibu wa K.S Goldstein

(1964). (alama 6)

(c) Kwa kutoa mifano mwafaka, jadili matatizo yanayoweza kumkabili mtafiti katika

fasihi simulizi anapotafiti nyanjani. (alama 5)

(d) Eleza manufaa ya utafiti katika fasihi simulizi. (alama 4)



6. Huku ukitoa ufafanuzi wa kisasili,eleza njia mbalimbali za kueleza kisasili kwa

njia ya kitaalamu. (alama 20)



































More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers