Kis 421: Comparative Literature In Kiswahili Question Paper
Kis 421: Comparative Literature In Kiswahili
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Moi University question papers
Exam Year:2013
KIS 421: COMPARATIVE LITERATURE IN KISWAHILI
Mtihani huu una sehemu nne: A,B,C,D.Jibu maswali manner tu, swali moja kutoka kila sehemu.
SEHEMU A: TAMTHILIA
1. Linganisha maswala yanayoangaziwa katika tamthilia za kiswahili za miaka ya 1950 na zile za miaka ya 1980.
2. Teua wahusika wawili katika tamthilia ulizozisoma na ulinganishe sofa zao na misukosuko waliyopitia.
SEHEMU B: RIWAYA
3. Chagua riwaya zozote mbili ulizozisoma na ulinganishe jinsi swala LA mwanamke linavyoangaziwa.
4. Linganisha maudhui yanayojitokeza katika riwaya za kiswahili za miaka ya 1960 na zile za miaka ya 1970.
SEHEMU C: HADITHI FUPI
5. Linganisha sofa za kimsingi kati ya hadithi fupi za kale na za kisasa. Toa mifano mahususi.
6. Changanua hadithi moja ya kale na moja ya kisasa na ulinganishe;
a) msuko wa matukio
b) matumizi ya lugha
SEHEMU D: USHAIRI
7. "Lugha ya mashairi ya kale(kabla karne ya ishirini) na ya kisasa, inatofautiana". Fafanua.
8. Chunguza miundo ya mashairi haya na ulinganishe:
Mshenzi(Said A. Mohammed) na Siri(Hassan Mwalimu Mbega)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers