Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 101: Introduction To Language And Linguistics Question Paper

Aki 101: Introduction To Language And Linguistics 

Course:Bachelor Of Arts In Development And Policy Studies

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
1ST YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN CAMPUS
COURSE CODE: AKI 101
COURSE TITLE: INTRODUCTION TO LANGUAGE AND LINGUISTICS
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER, 2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.



SWALI LA LAZIMA
a) Taja na ueleze sifa TANO muhimu zinazozingatiwa katika ufafanuzi wa dhana ya lugha (Alama 10)
b) Chimbuko la lugha linaweza kuelezwa kwa kuegemea mtazamo wa kidini. Jadili. (Alama 15)
c) Fafanua dhima zozote TANO za lugha ya binadamu. (Alama 5)



SWALI LA PILI
a) Kwa kurejelea wataalamu WAWILI, eleza maana ya Isimu. (Alama 4)
b) Eleza misingi inayodhihirisha usayansi wa Isimu. (Alama 16)



SWALI LA TATU
Jadili uhusiano uliopo kati ya Isimu na taaluma nyingine . (Alama 20)



SWALI LA NNE
a) Eleza uhusiano uliopo kati ya fonetiki na fonolojia. (Alama 12)
b) Huku ukitoa mifano, eleza dhana zifuatazo:
i) Foni (Alama 4)
ii) Fonimu (Alama 4)




SWALI LA TANO
Fafanua matawi yafuatayo ya isimu kisha ueleze umuhimu wao:
a) Mofolojia (Alama 4)
b) Sintaksia (Alama 4)
c) Semantiki (Alama 4)
d) Fonetiki (Alama 4)
e) Fonolojia (Alama 4)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers