Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 202: Theory And Standardization Of Kiswahili Question Paper

Aki 202: Theory And Standardization Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
2ND YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN/KISIICAMPUS
COURSE CODE: AKI 202
COURSE TITLE: THEORY AND STANDARDIZATION OF KISWAHILI
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER,2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.




SWALI LA LAZIMA
a) Eleza majukumu SITA ya mawasiliano. (Alama 6)
b) Kwa kifupi, fFafanua vijenzi muhimu vifuatavyo katika mchakato wa mawasiliano:
i) Usimbaji (Alama 3)
ii) Mlengwa (Alama 3)
iii) Usimbuaji (Alama 3)
iv) Muktadha (Alama 3)
c) Kwa kifupi, Ffafanua dhana zifuatazo:
i) Mawasiliano (Alama 3)
ii) Stadi za mawasiliano (Alama 3)
iii) Mwasiliano lugha (Alama 3)
iv) Mawasilano miondoko (Alama 3)


SWALI LA PILI
Mazungumzo ya kawaida katika mawasiliano huwa na sifa na umuhimu wa kipekee. Jadili. (Alama 20)


SWALI LA TATU
Vizingiti vinavyoweza kuathiri mawasiliano hujitokeza katika hatua mbalimbali ndani ya mchakato wa mawasiliano. Jadili. (Alama 20)


SWALI LA NNE
Umealikwa kuwahutubia wanafunzi wa shule za upili kuhusu hatari na jinsi ya kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya. Andika hotuba utakayotoa. (Alama 20)


SWALI LA TANO
Umeona tangazo la kuajiri walimu kazi katika gazeti la Taifa Leo. Tangazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kuajiri Walimu nchini. Andika barua ya maombi pamoja na tawasifu utakayoambatisha. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers