Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 203: Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Aki 203: Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
2ND YEAR 2ND SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
NAMBALE CAMPUS
COURSE CODE: AKI 203
COURSE TITLE: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER, 2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.





SWALI LA LAZIMA
a) Fafanua dhana ya fasihi simulizi kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali . (Alama 10)
b) Eleza vipengele vyovyote VITANO vya uwasilishaji wa fasihi simulizi. (Alama 10)
c) Jadili mabadiliko yaliypo kwa sasa katika fasihi simulizi. (Alama 10)




SWALI LA PILI
a) Jadili majukumu ya fanani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi. (Alama 10)
b) Elezamikakatinambinuzautambajiwahadithi. (Alama 10)



SWALI LA TATU
Eleza maana, sifa na dhima ya ngomezi katika jamii. (Alama 20)



SWALI LA NNE
a) Fasili dhana ya ‘Nadharia.’ (Alama 5)
b) Fafanua nadharia zozote TATU zinavyoweza kutumiwa kuhakiki kazi ya fasihi simulizi. (Alama 15)



SWALI LA TANO
Kwakutoamifano, eleza:
a) Hatuanaumuhimuwautafitinyanjani (Alama 10)
b) Changamotokatikautafitiwafasihisimulizi. (Alama 10)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers