Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Ect 316: Mbinu Mahsusi Za Kufundisha Kiswahili Question Paper

Ect 316: Mbinu Mahsusi Za Kufundisha Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2014



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
UNIVERSITY EXAMINATION 2013/2014 1ST YEAR 2ND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS) WITH . KENDU BAY LEARNING CENTRE
COURSE CODE: ECT 316
COURSE TITLE: MBINU MAHSUSI ZA KUFUNDISHA KISWAHILI
MHADHIRI – LABAN N. BOSIRE
JIBU MASWALI MATATU: SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA
SEHEMU YA KWANZA (alama 30)
SWALI LA I
a) Taja umuhimu wa silabasi katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za upili.
(alama 5)
b) Tambua na ueleze aina za insha.
(alama 5)
c) Toa sababu za kufunza fasihi ya lugha ya Kiswahili
(alama 5)
d) Eleza kwa ufupi malengo ya elimu katika ufunzi wa lugha ya kiwsahili na katika shule za Sekondari nchini Kenya.
(alama 5)
e) Fafanua umuhimu wa kufuata silabasi katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili.
(alama 5)
f) Ni muhimu mwalimu kuwa na katiba anapofundisha Kiswahili. Thibitisha
(alama 5)
SWALI LA PILI
Mwalimu anapofundisha Kiswahili yuafaa kuzingatia, vipengele muhimu katika ushairi. Vitaje na kuvieleza vipengele hivyo.

SWALI LA TATU
1. Usomaji wa magazeti na majarida ya kiswahili ni mbinu mojawapo ya ujenzi wa lugha kimaandishi. Thibisha kauli hii.
(alama 20)
SWALI LA NNE
Eleza jinzi utakavyofundisha mada zifuatazo katika lugha ya Kiswahili (alama 20)

a) Msamiati wa ukoo
b) Methali
c) Kusoma
d) SWALI LA TANO
Nyenzo za kufundisha zina umuhimu katika ufundishaji wa Kiswahili. Fafanua kauli hii.
(alama 20)







More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers