Aki 409 : Kiswahili Syntax Question Paper
Aki 409 : Kiswahili Syntax
Course:Bachelor Of Education
Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers
Exam Year:2016
1.Kwa kutoa mifano mwafaka fafanua aina zifuatazo za mageuzi katika sentensi za Kiswahili:
a)mageuzi swalifu
b)Mageuzi tendwa
c)Mageuzi shadidifu
2.Eleza aina tano za Virai katika Kiswahili: toa mifano ifaaayo. (Alama 20)
3.Jadili kwa kirefu maana na upeo wa sintaksia. (Alama 20)
4.Eleza kwa undani dhana za umbo ndani na umbo nje kwa mujibu wa wanasarufi Geuza maumbo zalishi. (Alama 20)
5.Kwa kutoa mifano mwafaka tofautisha kati ya aina zifuatazo za sentensi za Kiswahili: (Alama 20)
a)Sentensi sahili
b)Sentensi ambatano
c)Sentensi changamano
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers