Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

General Writing And Editing Question Paper

General Writing And Editing 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYA TT A UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 200612007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION (ARTS) AND BACHELOR OF ARTS
AKS 319:
GENERAL WRITING AND EDITING
DATE:Friday, 16th February, 2007
TIME: 10.30 a.m. - 12.30 p.m.
,.
MAAGIZO
Jibu swa1i 1aKWANZA na mengine yoyote MAWILl.
1.
Fafanua nguzo nne za uandishi bora na ue1eze mambo yanayohitaji kuzingatiwa katika ki1anguzo.
2.
E1ezasifa zinatofautisha uandishi wa kiakadernia na iana zingine za uandishi.
3.
a)
Ni mambo gani muhimu mwandishi wa taarifa ya habari anahitaji kuti1ia maanani?
b)
Andika taarifa fupi ya habari isiyozidi maneno rnia mbili ukizingatia kanuni tano za uandishi wa habari.
4.
Bainisha hatua za utayarishaji wa mswada na udhihirishe kanuni za uchapishaji.
5.
Uandishi wowote huzingatia hatua tano muhimu. Zifafanue na utoe mifano panapojuzu.
6.
Tumia alama sanifu za uhariri kuhariri makala yafuatayo. (Angalia kiambatisho)

Wahusika hupewa lugha am bayo inawasaidia kueleza yale yanayokusudiwa na msanii. Hata hivyo, lugha anayoitumia mhusika huambatanishwa na picha za mawazo zilizojenwa ili kuweza kuleta athari kwa msomaji. Jinsi mhusika anavyozungurnza na kuyaelewa kwa ukamilifu yale anayoyafikiria, ndivyo anavyozidi kueleweka tabia na matendo yake. Hivyo ndivvyo anavyozidi kufanikiwa kwenye kumwakilisha mill wa tabia za aina hiyo. Jinsi lugha inavuyokua ndivyo wahusika nao wanavyoikuza lugha yao, na ndivyo wanavyoweza kujieleza vyema zaidi. wahusika wakuu wa Shaaban ROBERT kwa mfano, walijaziwa lugha yenye falsafa na hekima nyigni kuliko wahusika wengine, ajabu kiasi hicho. Wamechukuliwa sio kwenye dunia ya kidhahania, bali hapa tunapoishi sisi. Hivyo mazungurnzo yao na wahusika wengine.ni mazungurnzo yaliyopewa upeo wa binadamu wa kawaida. Kwa kuangalia upande wa fasihi tunaona kuwa fasihi ni sanaa ya maneno. Maneno hayo yanatokana na wazo. Mawazo hayo huzingatia nyaja zote na pande zote za maisha. Hivyo kwa kutumia lugha, fasihi huweza kuzingatia maisha ya binadamu. Katika fasihi, nafasi ya rangi, sauti, nyendo na vyote vinavyotumika katika sanaa nyingine hutumia maneno. Kwa hivyo msaniihulichaguaneno lake has a kwa vile ana lengo 1a kuonyesha mkondo wa maisha kwenye uhalisi wake,huonyesha shughuli za mtu maa1um na kumpamba kama ambavyo wako katika maisha halisi. Ufundi wa kumpa mtu huyo lugha fu1ani unatokana na ujuzi wa maisha wa watu wenye ha1i hizo maalum za maisha. Hapa ndipo msanii anapojitahidi kumuonyesha mmhusika wake kwenye matukio halisi kwa kutumia maneno. Msomaji, kwa kufuatana na mazungurnzo ya wahusika, anaweza kup ata picha ya mahusiano yao kijamii na kiutamaduni; hasa baada ya kuzisoma na kuzichunguza fikra zao. Baada ya mwaka 1970 tunawaona wakibadilika na kuwa wahusika huru wanaoiangalia migongano na migororo tofauti ya maisha yao. Baada ya Azimio la Arusha , tofauti za kitabaka zinafifia na wahusika wanapewa dhima ya uzalendo na kujua haki zao. Wanazungurnzia ujamaa na kutoa hoja zao wakiwa ndani ya siasa ya nchi yao; kama wananchi huru ambao wana haki ya kuliendeleza taifa lao.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers