Edk216: Kiswahili Education 1 Question Paper

Edk216: Kiswahili Education 1 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Rongo University question papers

Exam Year:2017



Jibu swali la kwanza na mengine mawili
1.a.Fafanua dhana zifuatazo
Shabaha
Nyenzo
Tathmini
Mwelekeo mseto
b.Fafanua madhumuni nane ya elimu ya kitaifa kama inavyotolewa na serikali ya Kenya (8mks)

c.Eleza umuhimu wa mwalimu kutumia nyenzo za kufundishia anapoendeleza somo lake(4mks)

d.Eleza umuhimu tano wa tathmini kwa mwalimu darasani(10mks)


2.a.Bainisha waasisi wa nadharia zifuatazo
Nadharia ya utabia
Nadharia ya mawasiliano
Nadharia ya uchanganuzi linganuzi
nadharia ya uakili

b.Eleza jinsi ambavyo mwalimu wa kiswahili atakavyofaidika kutokana na ufahamu wa nadharia ya uakili(8mks)

c.Eleza matatizo manne ya kimatamshi ambayo huweza kumkumba mwanafunzi wa lugha ya pili.To a mifano kwa kila tatizo kisha pendekeza njia ambayo mwalimu anaweza kutumia kutatua makosa hayo.(8mks)

3.a.Somo la kiswahili Luna mchango mkubwa sana katika kufanikisha malengo ya elimu ya kitaifa.Tetea kauli jii kwa kuzingatia madhumuni nane ya elimu ya kitaifa(16mks)

b.Kama wanadamu hawangetunukiwa lugha,maisha yangekuwa vipi?(4mks)

4.a.Fafanua sifa tano za mbinu ya kimawasiliano katika ufunzaji wa lugha ya pili(10mks)

b.Jadili nafasi ya mwalimu wa lugha katika matumizi ya nadharia ya mawasiliano darasani(10mks)

5.Taja nyezo zozote za kufundishia na ufafanue jinsi utakavyozitumia kufanikisha somo lako(10mks)

b.Nadharia ya utabia humfaidi sana mwalimu wa kiswahili katika harakati zake za ufunzaji wa lugha ya pili.Fafanua(10mks)






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers