Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 201:Theory Of Standardization Of Kiswahili. Question Paper

Aki 201:Theory Of Standardization Of Kiswahili. 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Maseno University question papers

Exam Year:2018



1.Zifafanue sababu za kusanifisha lugha.(al26)

2.Eleza mchango wa serikali katika ufanikishaji wa usanifishaji wa lugha.(al22)

3.Eleza hatua nne za nadharia ya usanifishaji ya Haugen.(al22)

4.Onyesha sababu zilizo fanya kiunguja kuchaguliwa kama msingi wa usanifishaji wa kiswahili.(al22)

5.Yafafanue majukumu yaliyopewa kamati ya Lugha ya Afrika Mashariki ya mwaka 1930.(al22).






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers