Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 205  Question Paper

Kis 205  

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Maseno University question papers

Exam Year:2018



1.'Dhana na tafiti mbalimbali zimekanganya saana la asili ya kiswahili na waswahili. ' fafanua hoja hili. (Alama 30)
2.Bainisha matatizo matano yaliouzuia kuenea kwa kiswahili katika sehemu sehemu za bara za Kenya kabla ya uhuru. (Alama 20)
3.'mbinu zilizo tumiwa kumanisha msamiati wa kiswahili Baina ya 1930 na 1938 hazikufaa.' tathmini hoja hii. (Alama 20)
4. Jadili aina tano za upungufu wa maandishi na Hati za kiswahili sanifu cha sasa (alama 20)
Fafanua matatizo matano ambayo yanaweza kukabili kiswahili kama kitatangazwa kuwa lugha sambazi sambazi ya bara la Afrika. (alama 20)
6.Dhihirisha kuwa kiswahili kimetumiwa na kinaendelea kutumiwa katika shughuli za kiutandawazi. Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers