Kis 300: Kiswahili Syntax Question Paper
Kis 300: Kiswahili Syntax
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: Kaimosi Friends University College question papers
Exam Year:2017
KAIMOSI FRIENDS UNIVERSITY COLLEGE
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2016/2017 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
COURSE CODE:KIS 300
COURSE TITLE: KISWAHILI SYNTAX
6TH DECEMBER 2017
2 HOURS
ANSWER QUESTION ONE AND ANY OTHER TWO QUESTIONS
1.Fafanua nafasi ya sintaksia Kwa mwalimu wa kiswahili. Ala 30
2.Kwa kutumia mifano,jadili uainishaji wa sentensi Kwa kutumia vigezo vifuatavyo:
a.kimuundo. Ala 10
b. Kiuamilifu. Ala 20
3)Kauli Ni kategoria muhimu katika isimu maumbo.Thibitisha. Ala 20
4)Jadili misingi ya mkabala wa sarufi miundo.Ala 20
5)Ugeuzaji hufanikisha maumbo mengi katika nadharia ya sarufi geuza maumbo.Fafanua usahihi wa Kauli hii. Ala 20
More Question Papers
Exams With Marking Schemes