Jmc 300: Writing For Kiswahili Audience Question Paper
Jmc 300: Writing For Kiswahili Audience
Course:Bachelor Of Journalism And Mass Communication
Institution: Kaimosi Friends University College question papers
Exam Year:2015
KAIMOSI FRIENDS UNIVERSITY COLLEGE
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2014/2015 ACADEMIC YEAR
THIRD YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
COURSE CODE: JMC 300
COURSE TITLE: WRITING FOR KISWAHILI AUDIENCE
2 HOURS
16TH FEBRUARY 2015
INSTRUCTIONS TO CANDIDATES
Answer question ONE and any other two questions
1. Mambo gani utakayotia maanani wakati wa kuandika hadhira ya kiswahili. Ala 30
2. Huku ukitoa mifano,onyesha umuhimu wa alama za uakifishaji. Ala 20
3). Eleza mambo ya kuzingatia katika kuchagua lugha ya taifa. Ala 20
4)"sera ya lugha hapa nchini imeegemea katika Mfumo wa elimu".Dhihirisha. Ala 20
5). Toa maelezo mafupi Kwa mada zifuatazo:Ala 20
a. Lugha ya fasihi
b. Lugha ya mazungumzo
c. Lugha ya magazeti.
d. Lugha ya michezo.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes