Aki 201 : Theory And Standardisation Of Kiswahili Question Paper
Aki 201 : Theory And Standardisation Of Kiswahili
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: Maseno University question papers
Exam Year:2018
MASENO UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2017/2018
SECOND YEAR FURST SEMESTER EXAMINATION FOR
THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION ARTS WITH INFORMATION TECHNOLOGY
MAIN CAMPUS
AKI 201:THEORY AND STANDARDIZATION OF KISWAHILI
Date:13th February, 2018 Time:3.30-6.30pm
MAAGIZO
•JIBU MASWALI MATATU.Swala la kwanza ni la lazima
1.Zifafanue sababu za kusanifisha lugha (al 26)
2.Eleza mchango wa serikali katika ufanikishaji wa usanifishaji wa lugha (al 22)
3.Eleza hatua nne za nadharia ya usanifishaji ya Haugen. (Al 22)
4.Onyesha sababu zilizofanya kiunguja kuchaguliwa kama msingi wa usanifishaji wa kiswahili. (Al 22)
5.Yafafanue majukumu yaliyopewa kamati ya Lugha ya Afrika Mashariki ya mwaka 1930 (al 22)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers