Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

National Mock / Post Mock Examination Kiswahili - Insha Question Paper

National Mock / Post Mock Examination Kiswahili - Insha 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2010



Maelezo:
Jibu maswali mawili. Swali la kwanza ni la lazima. Chagua la pili kutoka 2,3 au 4.

1. Wewe ni katibu wa chama cha wakulima cha kiteka: Tayarisha kumbukumbu za
mkutano mliofanya hivi majuzi.
2. Andika insha juu ya: Maisha yangu ifikapo mwaka wa 2020.
3. Ndugu yako ameshtakiwa kwamba mnamo tarehe 12 Agosti mwaka jana, alipatikana
na hatia ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Amekutaja kuwa ulikuwa na yeye wakati
huo nyumbani na umeitwa kutoa ushahidi juu ya:
- alipokuwa wakati huo
- Shughuli zake za kawaida
- Historia yake
- Maoni yako juu ya kesi hii.
Andika insha kuhusu vile utakavyomtetea mahakamani.

4. Andika insha juu ya methali hii; Mtenda jambo asishe ni kama asiyetenda.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers