Kis 102: Communication Skills In Kiswahili Question Paper
Kis 102: Communication Skills In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education (Arts)
Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers
Exam Year:2018
MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
CORSE TITLE : COMMUNICATION SKILLS IN KISWAHILI
COURSE CODE: KIS 102
MAAGIZO KWA WATAHINIWA
SWALI LA KWANZA NI LAZIMA
JIBU MASWALI MATATU
MUDA: SAA MBILI
MASWALI
1. Andika HOTUBA ambayo itasomwa na mwalimu mkuu wakati wa ufunguzi wa jumba la maktaba shule moja ya upili. (alama 30)
2. Kwa kutoa mifano mwafaka jadili aina nne za stadi za kusoma. (alama 20)
3. Eleza vizingiti muhimu vinavyoweza kufanya mawasiliano kutatizika. (alama 20)
4. Kwa kutoa mifano mwafaka, tofautisha mtindo wa mawasiliano rasmi na ule usio rasmi. (alama 20)
5. Kwa kupambanua viziada lugha chanya na hasi vinane , jadili umuhimu wavyo katika mawasiliano.
6. “uamilifu mkubwa wa katika mfumo wowote wa kijamii unaweza kubainisha ngazi ”. Fafanua hoja hii. (Aama 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes