Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 103: Introduction To Kiswahili Literature Question Paper

Kis 103: Introduction To Kiswahili Literature 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2018



MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
COURSE TITLE: INTRODUCTION TO KISWAHILI LITERATURE
COURSE CODE: KIS 103

INSTRUCTIONS
Answer question one band any other two

Maswali
1.a. Eleza maana ya fasihi kwa kuzingatia wataalamu wowote wanne (alama 10)
b. Bainisha tofauti baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Zingatia hoja zozote tano. (alama 20)
2. Tathmini hulka za wahusika wafuatao kutoka riwaya ya siku njema ( K. Walibora)
a) Zainab Makame
b) Kongowea Mswahili
c) Mzee Kazi Kwisha
d) Rahma/Mkaza mjomba (alama 20)
3. Onyesha vipengele vine muhimu katika kuchambua fasihi huku ukifafanua ufaafu wa kila kipengele katika kueleza fasihi ya Kiswahili. (alama 20)
4. “Fasihi ni sanaa ya lugha ”.Thibitisha kauli hii kwa kuzingatia hoja zozote tano. (alama 20)
5. kwa kutumia mifano kutoka tamthilia ya kifo kisimani (K.Wa Mberia), eleza umuhimu wa istilahi zifuatazo.
a) tashbihi
b) taharuki
c) kisingere nyuma/ mbinu rejeshi
d) mathnawi (alama 20)
6. kwa kizingatia hoja zozote tano, eleza kwa tafsili tofauti baina ya fasishi na sanaa nyinginezo. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers