Edk 202: Theories And Analysis Of Kiswahili Literature Question Paper
Edk 202: Theories And Analysis Of Kiswahili Literature
Course:Theories And Analysis Of Kiswahili Literature
Institution: University Of Eldoret question papers
Exam Year:2016
UNIVERSITY OF ELDORET
UNIVERSITY EXAMINATIONS
REGULAR EXAMINATIONS 2015/2016
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
COU
RSE CODE: EDK 202
COURSE TITLE: THEORY AND ANALYSIS OF KISWAHILI LITERATURE
Maagizo: Jibu maswali manne
1.Tathmini uwepo wa tamthilia ya kibwege katika fasihi ya Kiswahili
2.Jadili,kwa kurejelea matini maalum ya kifasihi ,mihimili yoyote mitatu ya nadharia ya uhalisia katika uhakiki wa fasihi ya Kiswahili
3.'Nadharia ya Umarx imejikita katika mivutano ya kitabaka'.Fafanua hoja hii ukirejelea matini maalum ya fasihi ya Kiswahili
4.Hakiki riwaya yoyote moja ya Euphrase Kezilahabi kwa kutumia nadharia ya udhanaishi
5.Ukitilia maanani usanii wa mtunzi yeyote mmoja wa like,tathmini nafasi ya nadharia ya Ufeministi wa ujamaa katika uhakiki wa fasihi ya Kiswahili
6.Kwa kurejelea kitabu chochote cha riwaya,jadili maudhui tano yanayojitokeza
7.Kwa kurejelea tamthilia uliyoisoma jadili sifa za wahusika kuu watano
More Question Papers
Exams With Marking Schemes