Kis 221 Kiswahili Morphology Question Paper
Kis 221 Kiswahili Morphology
Course: Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2018
Jibu swali la kwanza na mengine yoyote mawili
1.a.Kwa kutumia mifano toshelevu,eleza dhana zifuatazo
Mofolojia (ala 4)
Kudhoofika kwa konsonanti(ala6)
b.Eleza aina zozote NNE za vihusishi (ala 8)
c.Fafanua jinsi lugha inaweza kuainishwa kimuundo (ala12)
2.Fafanua aina zozote tano za mofu(ala 20)
3.Huku ukitoa mifano mwafaka,eleza njia tano zozote za uundaji wa Maneno (ala20)
4.Bainisha tofauti iliyopo kati ya viambishi awali na viambishi tamati huku ukitoa mifano mwafaka(ala20)
5.Pambanua matawi makuu ya mofolojia (ala20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes