Kis 222 Kiswahili Morphology Question Paper
Kis 222 Kiswahili Morphology
Course: Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2017
Jibu swali la kwanza na mengine mawili
1.Tumia mifano mwafaka kutofautisha dhana zifuatazo za lugha
a.Lugha ambishi na lugha tenganishi(al 10)
b.Alomofu na viambishi (al 10)
c.Uambishaji na unyambuaji(10mks)
2.Ukitumia mifano mitano,fafanua njia mbalimblali zinazotumiwa katika uundaji wa Maneno(al 20)
3.Kwa kutumia mifano katika lugha ya kiswahili,dhihirisha maumbo mbalimblali ya mofu(al 20)
4.Kwa kutumia mifano, bainisha dhana ya mofimu kabla ya kuasisiwa kwa sarufi zalishi(al20)
5.Ainisha ngeli za nomino kimofolojia kisha ueleze ubora wa uanishaji huu(al 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes