Kis 212 Phonology In Kiswahili Question Paper
Kis 212 Phonology In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2018
Jibu swali la kwanza na mengine mawili
1.Fafanua kisha ueleze kwa kutoa mifano tofauti iliyopo baina ya dhana zifuatazo
a.Foni na Fonimu(al10)
b.Jozi mlinganuo finyu na mpashio guru(al10)
c.Eleza sifa na dhima ya shadda katika kiswahili sanifu(al10)
2.a.Shadda inaweza kudhihirika katika viwango kadhaa vya lugha.Fananua kwa kutoa mifano maalum ya kiswahili (al8)
b.Eleza sita na dhima ya shadda katika kiswahili sanifu (al12)
3.Fonetiki na fonolojia ni taaluma zinazofanana na kutofautiana.Jadili(al20)
4.a.Eleza aina zozote tank za silabi (al10)
b.Fafanua mitazamo mitatu ya kueleza silabi kwa mujibu wa nadharia ya kimapokeo(al10)
5.Huku ukitolea mifano,bainisha aina zozote NNE za mifanyiko ya kifonolojia (al20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers