Kis 321: Literary Devices And Criticism In Kiswahili Question Paper
Kis 321: Literary Devices And Criticism In Kiswahili
Course: Bachelor Of Arts
Institution: Rongo University question papers
Exam Year:2018
Jibu swali la kwanza na mengine yoyote mawili
1.a.Fafanua mihimili yoyote mifano ya mtazamo wa umenke (al6)
b.Toa umuhimu wa uhakiki katika kiswahili fasihi (al5)
c.Eleza dhima ya nadharia katika uhakiki(al5)
d.Dhihirisha sita za fasihi ya kiswahili katika kipindi cha urasmi mpya(al8)
e.Tathmini mchango wa wahusika katika fasihi (al6)
2.Fafanua mchango wa wafuatao katika uhakiki wa fasihi(al20)
a.Plato
b.Aristotle
c.Horace
3.Dhihirisha ufaafu wa nadharia ya utamaushi katika riwaya ya Rosa Mistika-Euphrase Kezilahabi(al20)
4.Mtazamo wa uhalisia wa kijamaa unafaa katika uhakiki wa tamthilia Kilio cha Haki-A.M Mazrui.Tathmini kauli hii(al20)
5.Jadili aina mbalimbali za uhakiki (al20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes