Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Kcpe 2016 Kiswahili Exam Question Paper
Kcpe 2016 Kiswahili Exam
Course:English
Institution: Kcpe question papers
Exam Year:2016
KCPE Past Papers 2016 Kiswahili
Soma vifungu vifuatavyo. Vina nafizsi I mpaka 15. Umepewa majibu manne hapo. Chaguajibu lifilalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Umuhimu wa afya bora kwa raia , _1_ _2_ kuna Wasiotilia maanani suala hili. Raia _3_ afya hawamudu _4_ kukabiliana na matatizo _5_ maisha, _6_ pia huwa na hamu zaidi ya kutenda kazi. Raia Wanastahili kuhimizwa kutunza afya _7_ Wasije wakahasirika baadaye kwani _8_ 1. A. utakuwa umesisitizwa B.
C. unakuwa urnesisitizwa D.
2. A. ama B. japo C.wala D. lau
3. A. wenye B. zenye C.kwenye D. penye
4. A. tu B. kamwe C.kabisa D. hata
5. A. yanaodhuru B. yanavyodhuru C.yanayodhuru D. yanakodhuru
6. A. au B‘. bali C. na D. hata
7. A. nao B. hao C. zao D. wao
8. A. rasharasha ndio mwanzo wa mvua B.tone na tone huwa mchirizi
C. maji ukiyavulia nguo yaoge D.mchclea mwana kulia hulia mwenycwe
Sitawahi kumsahau Bi. Tunu; _9_ hamu ya kujiendeleza Inasomoni. Nakumbukakidato cha kwanza nilipokuwa _10_ katika Kiswahili. _11_ somo kuwa rahisi. Alitufunza aina za mashairi karna vile _12_ lenye mishororo mitano katika ubeti. Alisisitiza kwamba ushairi ni mwepesi, Akasema, “lkiwa mtoto mdogo anaweza kutunga na kukariri shairi _13_ nyinyi _14_ Pia, Bi. Tunu alitufundisha aina za tamathali za usemi kama vile _15_ 9. A. ndiye aliyenipa B.Ndivyo alivyonipa
C. ndipo aliponipa D.Ndio aliyonipa
10. A. nimeenda shoti B.nimekula mwande
C. nimeenda nguu D.nimekula hasara
11. A. Aliifanya B. Uliifanya C.Alilifanya D.ulilifanya
12. A. tathnia B. takhmisa C.tathlitha D.tasdisa
13. A. madhali B. ilhali C.angalau D.sembuse 14. A. ; B. , C.? D. ...
15. A. Mkai anawaza akiwazua kila siku. B.Hamira ni ninga anyetuliza
C. kitambaa hili ni laini kama pamba D.mawimbi ua bahari yalinizugumzia
Kutoka swali la 16 mpaka 30, chagua jibu lililo sahihi.
16.Chagua sentensi sahihi kisaru?.
A. Nywele ambayo imesukwa ni fupi.
B. Ngome iliyojengwa hapa imetukinga.
C. Jino iliyooza imeng’0lewa na daktaxi.
D. Changarawe ambacho kimesombwa kitauzwa.
17.Ukigawanya nusu mara nne sawa utapata?
A. robo B. sudusi
C. khumusi D. Lhumni
18.Chagua jibu lenye sauti sighuna pekee.
A. ch,f,s,th B. gh,j,m,t
C. p,ny,n,d D. dh,k,ng’,h
19.Nomino nyanja imo katika ngeli gani?
A. U—Zl B. I—ZI
C. I—I D. LI—YA
20.Maneno yaliyopigiwa mstari ni: Sesi alibeba vikapu kadha begani.
A. kielezi, kiwakilishi;
B. kivumishi,kihusishi;
C. kiwakilishi, kihusishi;
D. kivumishi, kielezi.
21.Chagua jibu la kitendawili kifuatacho. Mimi ninakula vyakula vyote vinono lakini sinenepi wala sikui.
A. ulimi na meno;
B. kinu cha kusagia;
C. chungu cha kupikia;
D. mkono na vidole.
22.Onyesha usemi halisi wa sentensi ifuatayo. Muli aliniambia kwamba wiki ambayo ingefuata angeenda kutazama mechi hiyo.
A. “Wiki ambayo ilifuata nilienda kutazama mechi hiyo.” Muli akaniambia.
B. “Wiki ij ayo nitaenda kutazama mechi hiyo.” Muli akaniambia.
C. “Wiki ambayo ilipita ulienda kutazama mechi hiya.” Muli akaniambia.
D. “Wiki ijayo utaenda kutazama mechi hiyo.” Muli akaniambia.
23.Nukta pacha hutumiwaje?
A. kutanguliza maneno katika orodha;
B. kufungia maneno halisi ya msemaji;
C. kuonyesha ufafanuzi wa maneno ya ziada;
D. kubainisha maneno ya awali.
24.Ni jibu lipi sahihi?
A. Utaridi ndiyo sayari iliy0 karibu sana na jua.
B. Zebaki ndiyo sayari kubwa zaidi ya zote.
C. Zuhura ndiyo sayari angavu yenye joto zaidi.
D. Mshtarii ndiyo sayari iliyo karibu zaidi na dunia.
25.Chagua sen?ensi iliyotumia kiunganishi sahihi.
A. Fauka ya kumwita alikataa kuitika.
B. Maadamu umcniomba nitakusaidia.
Maria alijaribu bighairi akashinda.
Umu ni msomaji bora ikiwa hanivutii.
26.Maana ya nahau, “tia mrija” ni:
A. kutumia mali vibaya;
B. kumtegcmca mtu kwa kila kitu;
C. kujitafutia mali kwa hila;
d. kumchukulia mm mali ya mwenzake.
27.Ni jibu lipi lenye maelczo sahihi?
A. Mzegazega huuza bidhaa rejareja.
B. Saisi hutunza wanyama wa uchukuzi.
C. Mjume ni fundi Wa kufua visu.
D. Sogora ni fundi wa kuimba na kukariri mashairi.
28.Chagua kauli ya kutendewa ya sentensi hii. Malkia alipiga ngoma akiwa kwa Hamu.
A. Ngoma ilipigiwa kwa Hamu na malkia.
B. Malkia alipigiwa ngoma kwa Hamu.
C. Ngoma ilipigiwa Hamu na malkia kwake.
D. Malkia alipigiwa ngoma na Hamu kwake.
29.Chagua wingi wa sentensi ifuatayo. Jani hilo kavu lilipeperushwa likatua kwenye mlingoti.
A. Maj ani hayo makavu yalipeperushwa yakatua kwenye mlingoti.
B. Majani yale makavu yalipepelushwa yakatua kwenye milingoti.
C. Majani yale makavu yalipeperushwa yakatua lovenye mlingoti.
D. Maj ani hayo makavu yalipeperushwa yakatua kwenye rnilingoti.
30.Ni jibu lipi lenye methali zenye maana sawa?
(i) Misguide uko kichwani kwapa lakutokeani jasho?
(ii) Pilipili usiyoila. yakuwashiani?
(iii) Mtama usioula wawawingiani kuku?
(iv) Kuku alaye mtama atakuwaje na nyama?
A. (i). (iv) B. (ii), (iii)
C. (i). (ii) D. (iii), (iv)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 31 mpaka 40. Wanafunzi wengi hudhani kwamba michezo ya riadha huanzia shuleni. Hata hivyo, ukichunguza kwa makini utapata kwamba watu huanza kushiriki katika riadha na Injchezo mingine wakiwa Watoto wakembe.
Hdwa unakumbuka vyema, utapata kwamba ulianza kucheza kabumbu mara tu ulipoanza kutcmbea. Mara ya kwanza mpira wako ulikuwa sahani ya mama yako, au hata kikombe ulichotiliwa maziwal Ulipokua kiasi, wewe na Wenzako mliunda mpira kwa karatasi, majani au vitambaa, ambavyo mara nyingi mliokota kwenye majalala.
Huenda unakumbuka rnara yako ya kwanza kuogelea. Sitashangaa ukiniambia kuwa kidimbwi chako kilikuwa maji machafu yaliyokuwa nje ya nyumba yenu. Wengine Wataniambia kuwa Waliogelea kwenye vijito vilivyojaa konokono bila kuwa na mwao na hatari ya kuambulia magonjwa.
Licha ya kuogelea, Wewc na wenzako pia mlishiriki katika michezo mingine kama vile kurusha tiara, kibe, kuwinga kuku na ndege kwa mawe, kuvutana kwa kamba, kuruka kamba, na kuxungushia tairi kwenye kiuno. Wakati mwingine mlikimbizana ili kuona anaycmplku m\venzake.
Ukiulizwa kuhusu rnichczo mliyoshiriki mkiwa watoto, utasema kwamba michezo hii mliitunga Wenyewe. Kadhalika nyinyi wenyewe ndio mliotunga sheria ambazo zilidhibiti uchczaji Wenu.
Wale ambao Walivunja sheria hizi walipewa adhabu kali kama vile kutengwa na kikundi au kupewa kazi ya kuwahudumia Wengine Wakiendelea kucheza.
Bila shaka adhabu hizi ziliimarisha nidhamu rniongoni mwénu} Hali kadhalika michgzo hii yenu haikuwaleta pamoja tu, bali pia ilichangia kulmarisha ura?ki.
Mathalani, mmoja wenu alipoumia, kundizimalilimshughulikia.Aidha,michezo hii ilikuza ubunifu na ujagiri, Kulelujtglggqrlcza mipira na nyavu kwa nyasi au karatasi kuliwapa stadi zaidi za kuunda hata vifaa viku_bwa zaidi.
Vilevilcni wazi kwarnba ulipoirusha tiara yako, na kuwashindawenzako katika mbio, ulijihisi kuwa shujaa na kujiamini Zaidi. Wakati mwingine hata ulichaguliwa kuwa kiongozi wa kundi kutokana na umahiri wako katika michczo.
Natumai unafahamu kuwa michezo hiyo yenu iliwasaidia kujenga misuli na kuirnaxfisha viungo vya Inwili. Ni wan kwamba wakati uliposhiriki michezo hii ulijihisi mwepesi iaidi, na uliweza kutekeleza n/1§;n'gi bila kuchoka haraka, Zaidi ya hayo, michezo hiyo ilikuwezesha kupata usingizi Wa pono na‘ kuraukia shule bila kulazimishwa na mlezi Wako. Ikumbukwe kwamba michezo hiyo hiyo ndiyo inayoendeléiwa hata sliuleni. Manufaa yake ni mengi hata kwa watu Wazima.
Wanaoshiriki Inichezo hii katika nyanja za kieneo na kimataifa hujifaa kwa mengi. Kuna wale ambao hushinda wzo na nishani mbalimbali, kutokana na weledi wao. Wengine hupata fedha nyingi na kuarnbulia utajiri wa gha?a. Pia baadhi huteuliwa kucheza, timu za kimataifa na kuziletea familia,._na nchi yao sifa kuu; wanaoajiriwaliama makochana manfa Wa timu za kitaifa na kimataifa .
Mke ni nguo, mgomba kupaliliwa. Nao utendaji wako katika micgggqggaliitajikubmeghwa kila mara. Ushauri wa walimu na wanajamii wengine ni muhimu katika kukuimarisha michezoni.
Hao hukuelekeza.kuhusu namna ya kuutumia muda wako vyema; usije ukaegemea sana katika michezo ukasahao mengine muhimu kama vile _kudumisha usa?, kuzingatia masomo na uhusiano wa kifamilia. Kadhalika, ni sharti ufuate nasaha ya waelekezi Wako kuhusu njia bora _ya.kutumia pato ambalo huenda ukapata kutokana na michezo.
31. Watoto wanapo?ka shuleni hawajui michezo ya nyumbani.
B. Wanafunzi wanaojihusisha na riadha huwa wachanga.
C. Watoto huirnarisha uchczaji kutokana na vifaa kwenye mazingira yao.
D. Wanafunzi hupata jinsi ya kujifunza kulingana na wanavyokua nyumbani.
32. Kifungu kimebainisha kwamba:
A. Watu Wanapowaza kwa dhati huelewa wanavyoanza.
B. Watotu wakitembea wakicheza hawajui umuhimu wa vitu.
C. Mpira ukiundwa kwa karatasi huchezewa jaani.
‘ D. Watu wanapohitaji jambo hutafuta mbinu Za kuli?kia.
33. ‘Sitashangaa ukiniambia kuwa kidimbwi chako kilikuwa maji machafu yaliyokuwa nje ya nyumba yenu.‘ ina maana kuwa:
A. M scmaj i anajua kuwa aliogelea mwanzo kidimbwini.
B. Mwandishi ana imani kuwa ina maeneo machafu.
C. Msomaji anaamini kuwa anaambiwa kuhusu uogeleaji kule nje.
D. Mwandishi ana hakika kwamba watoto walichczca muji yalc.
34. Kulingana na aya ya pili:
A. V iumbe W21 majini huwaumiza Wagonjwa wanaoogeiea.
B. Msomaji anakumbuka alipoanza kurusha tiara nyumbani.
C. Wenzako waliji?cha mlipowafukuza ndege na kuku.
D. Michezo mingine ya Watoto ilisababisha ushindani.
35. Kulingana na aya ya tatu:
A. mtu asiyejua sharia michezoni hawezi kuhurumiwa.
B. Watu wakiwa pamoja huunda mikakati ya kudumisha mahusiano mema.
C. Huduma bora hutolewa na wanaokosea michezoni.
D. Michezo huwapa Watu ujasiri wanapowashughulikia wagonjwa.
36. Michezo
A.inapowaleta watu pamoja idadi ya mara?ki huwa nyingi nyumbani
B.ikiendelea kundini huzidisha matayarisho ya kazi
C.inawafanya watu kuwa na moyo wa kukabiliana na magumu
D.inasababisha kuwepo kwa mashabiki kunakorushwa tiara.
37.Kulingana na kifungu:
A.Wanafunzi wanakuwa viongozi
B.Wanapoona ubora wa michezo.
C.Mtu anayeshiriki michezo hupata utulivu zaidi Wa mwili.
D.Misuli huimarika mtu anapofahamu umuhimu wa kucheza.
38.Viungo hujengekea michezoni mtu anapofanya kazi kwa urahisi. Chagua jibu sahihi kulingana na kifungu.
A.Walezi hawawaamshi watoto wanaopenda michezo.
B.Faida za michezo shuleni huwa nyingi ikianzia nyumbani.
C.Watu wazirna wakichezea timu za kimataifa huajiriwa.
D.Kushiriki michezo huweza kuimarisha hali ya mtu kiuchumi.
39.Kulingana naa a amwisho ‘mke ni nguo mgomba kupaliliwa’, kwani
A.Mchezaji akielekezwa vyerna huweza kutumla riziki yake kujinufaisha.
B.Mwanafunzi akifuata ushauri wa mwalimu huzingatia chanzo cha familia.
C.Mtu akishiriki michezo vyema huweza ku?kia udumishaji usa?.
D.Mtoto akihusika vyema katika familia hupata njia ifaayo ya kujiimarisha.
40.Maana ya ‘bila kuwa na mwao’ kulingana na
A.kufahamu
B.kuamini
C.kuogopa
D.kuajabia
Soma kifungu klfuatacho kisha ujibu maswali 41-50
Meli aiipokivuka kizingiti cha lango la shule ya kitaifa ya Tungambele alikuwa na 21% ya kusoma kwa bidii ili kuinukia kuwa kijzma Wa kutegernewa na jamii yake. Alikuwa kalclewa katika familia yenye pato wastani.
Akasoma kwa juhudi za wazazi Wake hadi darasa la nane alipokwangura alarna za kumwezesha kujiunga na shule hii ya kifahari. Meli alijua kwamba alikuwa mwanagenzi, si katika masomo ya shule ya upili tn. bali pia katika rnaisha ya jijini ambamo shule hii ilipatikana. Kwa kweli hii ndiyo iliyokuwa mara yake ya kwanza kutia guu kwenye jiji hili ambalo habari zake akizisoma, ama katika magazcti machache yaliyowahi ku?ka kijijini mwao, au kupitia soma la Elimujamii.
Hata hivyo, Meli hakuwa mtu wa kuogopa au kunywea machoni mwa changamoto. Alijiambia kwamba kwa vyovyote viic alapambana na maisha haya mapya.
Saa mbili kamili asubuhi ilimpata Meli kapiga foleni katika a?si ya kuwasajili wanafunzi Wageni. Wasiwasi wa aina fulani ulianza kumnycmelea alipotazama hapa na pale bila kuona dalili ya mja yeyote aliyemfahamu. Alijihisi kama yulc' kuku mgeni ambaye mwalimu Wake alishinda kuwaambia kuwa X hakosi kamba mguuni.
Hata hivyo uliupiga rnoyo wake konde na kujiambia kuwa kuja kwake hapa. kulitokana na juhudi zake mwenycwe nu katu hatauruhusu ugeni Wa mazingira kui?sha ari yake ya masomo. Usajili ulikamilika, naye Meii na wenzake wakajitosa katikaushindani wa kimasorno jinsi waogeleaji wajitumbikizapo kidimbwini wakapiga mbizi, baadhi wakiambulia ushindi na wengine wakifedhehcka i kwa kushindwa. Meli na Wenzakc Walibainikiwa kwamba Wote walikuwa mabingwa kutoka majimbo na wilaya zao.
Iiimbidi kila mmoja Wao kujikakamua /iaidi ili kuelea katika bahari hii ya ushindani. Muhula Wa kwzmza ulishuhudia kishindo cha Meli kubwagwa chini na majabali wcnzake. Alijipata miongoni mwagvanafunzi kumi Wa mwisho; au kama alivyozoca kuwatania wenzake katika shule ya msingi, “wanafunzi kumi bora kuanzia mwish0”! Hili lilimwatua moyo Mcii na kumfanya kutahayari. Ali?ka kwao amcjiinamia kama kondoo aiiyeumia malishoni.
Akawataka wazazi wake wambadilishie shule lakini Wakakataa. Muhula Wa pili na wa tatumambo yalikuwa yaieyale. M?j akahisi kama askarijeshi aiiyeshindwa kabisa kutambua mbinu za kuwavizia maadui. Akaona kwamba njia ya pekee ni kujiunga na wenza_ke kama yeye katika vitendo vya utundu kama vile kuvuruga masomo kwa kupiga kelele darasani, kupiga soga bwenini na hata kuvuta sigara.
Mwanzoni alichukia vitendo hivi lakjni alimeza murututu akisema kwamba ndiyo njia ya pekee ya kujipurukusha na aibu. Wazazi wa Mali hawakusita kutambua mabadiliko katika hulka ya mwanao. Wakajaribu kumshika sikio nyumbani lalcini akawa hasikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini. Wakawahusisha wataalamu wa nasaha ambao waliwaambia kuwa Meli hakuwa na tatizo lolote la kuyamudu masomo.
Kile alichokosa ni kujiamini tu. Wazazi wa Meigwaliona kuwa ni muhimu kuwahusisha walimu katika kutatua tatizo la mwanao.
Mwanzo wa muhula wa pili uliwapata wazazi hawa a?sini mwa naibu wa mwalimu mkuu. Mazungumzo kati ya Wazazi , naibu wa mwalimu mkuu na mwalimu wa darasa la Meli yalidhihirisha kwamba walimu walikuwa wamemuasa Mcli kuhusu kujiingiza katika makundi yasiyomfaidi lakini rai zao Ziliingia katika masikio yaliyotiwa ma.
Aliyopenda zaidi Mali ni shughuli zilizomtoa nje ya shule kama vile tamasha za muziki, ukariri wa rnashairi na drama. Mazungumzo yalibainisha kwamba Meli alihitaji ushauri na uelekezaji zaidi kutoka kwa mtaalamu wa nasaha pale shuleni.
Meli alianza vikao na mtaalamu huyu ambaye pia alimpendekczea Meli ushauri zaidi kutoka kwa washauri marika. Hili lilimchangamsha zaidi Meli kwani aliwaona hawa kama wcnzake Waliojua changamoto zake. Iuhudi za mtaalamu wa nasaha na washauri marika zilifua dafu. Mwisho wa kidato cha pili ulishuhudia mabadiliko makuu katika hulka na utendaji kimasomo Wa Meli.
Aliukata kabisa uhusiano wake na mara?ki waliompotosha na kuanza kuandamana na wanafunzi waliotia juhudi masomoni. Polepole alama zake ziliimarika. Matokeo ya mtihani Wa kidato cha nne yalimweka kwenye safu ya wanafunzi bora zaidi nchini.
41. Nia ya Meli katika elimu ilikuwa:
A. kuinua hali ya familia yaks;
B. kuisaidia jamii yake;
C. kupata alama nzuri;
D. kujiunga na shule hora.
42. Meli alipojiunga na Tungambole:
A. alifahamu machache kuhusu uanagenzi;
B. alijua machache kuhusu masomo ya upili;
C. alifahamu rnachache kuhusujiji;
D. alijua machache kuhusu maisha mapya.
43. Ki?mgu kimedhihirisha kwamba:
A. Tungambelc iliwasajili wunafunzi bora zaidi katika maeneo
B. Wanafunzi walijitolea kwa bidii ili wasifedhehcke.
C. Meli na weenzake walijua ni mabingwa siku waliposajiliwa.
D. Watu walitazamana kwa uwoga walipoanguka mitihani.
44. Kulingana na kifungu:
A. kutozirika malengo kunaweza kusababisha kuzorota k\\3 maadili;
B. kutofanya vyema darasani kunaweza kusababisha na kubadilishwa shuleni;
C. kuangaia kalika masomo kunaweza kunyima njia za kujiokoa;
D. kupozeza alama kunaweza kuzua upigaji wa kelele.
45. C hagua j1bu lisilo sahihi kwa mujibu wa kifungu.
A. Mali aliwta sigara na kupiga soga ili kujisahaulisha unyonge wake.
B. Wazazi wa Meli walikuwa wenye makini.
C. Meli hakutambua umuhirnu Wa masomo.
D. Wazazi wa Meli walitambua haja ya kushirikiana kalika malezi.
46.Kulingana na aya ya lane:
A. Meli alikuwa bingwa katika ukariri wa mashairi na drama.
B. Tabia ya Mali iliathiriwa vyema na marika zake.
C. Walaalamu wa nasaha shuleni ndio Waliojua tatizo la Meli masomcmi.
D. Walimu walikuwa wamemwonya Meli dhidi ya upigaji soga 11a uvutaji sigara.
47.Kulingana na kifungu. ushauri marika unafaa zaidi kwani:
A. anayeshauriwa hujitambulisha zaidi na washauri;
B. washaurihhupendekezwa na walaalamu;
C. anayeshauriwa anaelewa zaidi matatizo yake;
D. washauri huwafurahisha wanaoshauriwa.
48.“Aliukata kabisa uhusiano wake na mara?ki waliompotosha”. Chagua kauli ~ inayoweza kujumuisha maneno haya.
A. Aliuacha ubaharia kwa unahodha.
B. Aliliacha ganda la muwa la jana.
C. Aliukata mkono uliokuwa ukirnlisha.
D. Alimtupajongoo na mti wake.
49.Maana ya: kuwatania ni
A. kuwafanyia dharau;
B. kuwafanyia chuku;
C. kuwafanyia mzaha;
D. kuwafanyia inda.
50.Chagua maana ya: ‘kujipurukusha’, kwa mujibu wa kifungu.
A. kujiokoa;
B. kujisahaulisha:
C.kujilinda;
D.kujiepusha.
More Question Papers