Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Bla1220:Introduction To The Study Of Literature In Kiswahili Question Paper

Bla1220:Introduction To The Study Of Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Mount Kenya University question papers

Exam Year:2018



MOUNT KENYA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2017/2018
SCHOOL OF SOCIAL SCIENCES
DEPARTMENT OF LANGUAGES AND HUMANITIES
BACHELOR OF EDUCATION
SCHOOL BASED-DIBL
UNIT CODE:BLA 1220
UNIT NAME: INTRODUCTION TO THE STUDY Of LITERATURE IN KISWAHILI.
DATE:APRIL,2018 MAIN EXAM TIME: 2 HOURS

MAAGIZO:JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI

Swali la kwanza
a)Eleza tofauti kati ya mhusika mkuu na mhusika Bapa. (Alama 4)

b)Fafanua aina nne za nyimbo. Alama 8)
c)Orodhesha na ueleze matatizo sita yanayoweza kukumba matafiti. (Alama 6)
d)Taja na kuelezea kwa kina sifa nne za fasihi simulizi katika jamii.( Alama 6)
e)Fafanua aina zozote tatu za ngano. (Alama 6)

Swali la Pili
Fafanua kwa tafsili aina zozote nne za tamthilia na utoe mifano mwafaka. (Alama20)



swali la Tatu
Huku ukitoa mifano,tathmini sifa za hadithi fupi huku ukizingatia kitabu cha Damu Nyeusi.



Swali la nne
Jadili aina za riwaya ya kiswahili huku ukitoa mifano mwafaka. (Alama 20)

Swali la Tano
Huku ukirejelea riwaya au tamthilia yoyote uliosoma,jadili maudhui yoyote manne yanayojitokeza.(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers