Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 408: Current Issues In Development Of Kiswahili Question Paper

Kis 408: Current Issues In Development Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
FOURTH YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 408
COURSE TITLE: CURRENT ISSUES IN DEVELOPMENT OF KISWAHILI

DATE: 10th December 2008 TIME: 8.00 am. – 11.00 a.m.

MAAGIZO
Jibu maswali yo yote. manne

Page 2 of 2

1. Tathmini matatizo ambayo yatakabili Kiswahili kama kitateuliwa kuwa lughasambazi
ya bara la Afrika.

2. “Lugha ya Kiswahili inaendelea kutumiwa katika shughuli za utandawazi”
Dhukuru hoja hii.

3. “Hakuna haja ya kutengea Kiswahili dhima mpya katika karne hii”. Jadili.

4. Bainisha vitengo maalumu vya matumizi ya lugha katika shughuli za jua kali.

5. “Vyombo huria vya kieletroniki nchini Kenya hutumia lugha chapwa”. Fafanua
hoja hii huku ukipendekeza jinsi ya kurekebisha hali hii.

6. Huku ukirejelea taaluma ya Uanasheria; eleza umuhimu wa ufundishaji wa
Kiswahili kwa maarubu maalumu.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers