Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 413: Kiswahili Semantics Question Paper

Kis 413: Kiswahili Semantics 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2008



Page 1 of 2

MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR
FOURTH YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 413
COURSE TITLE: KISWAHILI SEMANTICS

DATE: 2nd December 2008 TIME: 300 p.m. – 6.00 p.m.

MAAGIZO
Jibu maswali manne yo yote.
1. Jadili Maana na Majukumu ya taalauma ya Semantiki.
2. Fafanua aina TATU kati ya Maana zifuatazo:

Page 2 of 2

1. Fafanua aina TATU kati ya Maana zifuatazo:

a) Maana Bwia
b) Maana Hisi/Athirifu
c) Maana Ziada
d) Maana Zalishi/Fumano
e) Maana Kimatini

2. a) Jadili sababu TANO zo zote zinazotinga maendeleo ya taaluma ya
Semantiki.

b) Eleza sababu TANO kuonyesha kuwa Maana ya Mazungumzo ni
muhimu kuliko Maana ya Maandishi.

3. Kwa kutoa mifano muafaka ya Kiswahili, jadili mojawapo ya jozi zifuatazo za
Fahiwa (ti):

i) Haiponemia na Polisemia
ii) Homonemia na Antonemia

4. Jadili dhana ya “Usinonemia” na ueleze namna inavyotokea katika Kiswahili.

5. Jadili AMA dhima za Kiswahili katika jamii AU mikondo mbalimbali ya Maana
ya Kimtindo.

6. Fafanua njia na mbinu mbalimbali za uundaji wa Maneno ya Kiswahili.

7. Taathmini muundo wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI).






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers