Kcse Kiswahili Paper 1 March/April 2018 Question Paper
Kcse Kiswahili Paper 1 March/April 2018
Course:Kiswahili
Institution: Form 4 Mock question papers
Exam Year:2018
Name:……………………………………………………………… Index No.: ……………………...............
School:…………………………………………………………….. Sign.: ……………………………………….
Date:………………………………………...
Kenya Certificate of Secondary Education ( K.C.S.E )
KISWAHILI
PAPER 1
MARCH/APRIL 2018
TIME: 1 3/4 HOURS
KCSE MOCK EXAM 2018
1.
Wewe kama katibu wa jopo maalumu lililoteuliwa na Waziri wa Uchumi, andika kumbukumbu za mkutano uliojadili jinsi ya kuimarisha nchi kiuchumi.
20 marks
2.
Teknolojia ni kama sarafu ya pande mbili.Jadili
20 marks
3.
Mtaka cha mvunguni sharti ainame
20 marks
4.
“Niliamshwa na sauti ya dirisha likifunguliwa polepole. Nje kulivaa weusi wa kutisha.............”Endeleza.
20 marks
More Question Papers
Exams With Marking Schemes