Kis 102: Introduction To Kiswahili Literature Question Paper
Kis 102: Introduction To Kiswahili Literature
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers
Exam Year:2009
Page 1 of 2
MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY(MMUST)
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2008/2009 ACADEMIC YEAR (SCHOOL BASED)
FIRST YEAR SECOND SEMESTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
COURSE CODE: KIS 102
COURSE TITLE: INTRODUCTION TO KISWAHILI LITERATURE
DATE: 18th December 2009 TIME: 3.00 p.m. – 6.00 p.m.
INSTRUCTIONS TO CANDIDATES
JIBU MASWALI MANNE; MOJA KUTOKA KILA SEHEMU
Page 2 of 2
SEHEMU A
1. Pambanua sifa TANO zo zote zinazoitambulisha Fasihi ya Kiswahili.
2. Eleza umuhimu wa Misingi ya Fasihi ya Kiswahili.
SEHEMU B
3. Kwa nini taaluma ya Fasihi ya Kiswahili ni muhimu?
4. Jadili uhusiano baina ya ‘Fasihi Dhati’ na ‘Fasihi Pendwa’.
SEHEMU C
5. Eleza uhusiano baina ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi.
6. Anisha tanzu kuu za Fasihi ya Kiswahili na ueleze tofauti zake.
SEHEMU D
7. Jadili changamoto za maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili.
8. Taja na ueleze aina NNE kuu za fasili ya Fasihi.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers