Aks 400: Sociolinguistics Question Paper
Aks 400: Sociolinguistics
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2019
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2019/2020
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AND BACHELOR OF EDUCATION ARTS
AKS 400:SOCIOLINGUISTICS
DATE:TUESDAY 3RD DECEMBER 2019 TIME:11.00 A.M -1.00 P.M
INSTRUCTIONS;Jibu swali la kwanza na mengine mawili
1. a)Fafanua mikabala mitatu ya isimu jamii (alama 12)
b)Onyesha uhsiano baina ya lugha na jamii (alama 8)
c)Eleza mitazamo elezi na elekezi kuhusu lugha (alama 6)
2. Fafanua dhana zifuatazo: (alama 22)
a)Jamii lugha
b)Krioli
c)Daiglosia
d)Lafudhi
e)Mtagusano wa lugha
3. Ukirejelea taifa lolote la Afrika Mashariki onyesha namna upangaji lugha unaweza
kufanywa kihadhi na kikongoo. (alama 22)
4. Fafanua dhana ya sajili kwa kurejelea (alama 22)
a) Sajili ya sheria
b) Sajili ya biashara
5. a) Eleza mambo matano yanayosababisha uwili lugha. (alama10)
b) Jadili matatizo yanayoweza kusababishwa na uwili lugha. (alama 12)
6. Jadili sababu zinazochangia kuchanganya na kuhamisha lugha katika mawasiliano. (alama 22)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes