Aks100; Introduction To The Study Of Language Question Paper
Aks100; Introduction To The Study Of Language
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2012
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2011/2012
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE
DATE: TUESDAY 27TH MARCH 2012 TIME 2.00P.M-4.00P.M
INSTRUCTIONS
Jibu maswali Matatu.Swali la kwanza ni la lazima.
1. Kwa kutoa mifano, fafanua dhana hizi za kiisimu. (alama 26)
i)Fonetiki.
ii)Fonolojia
iii) Mofolojia
iv) Semantiki
v) Pragmantiki
2. I simu ni sayansi ya lugha. Eleza usayansi huu wa lugha ukizingatia sifa nne za sayansi. (alama 22)
3. a)Eleza dhana ya lugha (alama 4)
b)Fafanua sifa zozote tano kuu za lugha (alama 18)
4. Onyesha tofauti iliyopo baina ya dhana zifuatazo (alama 22)
i)Umilisi na utendaji
ii)Uwili lugha na ulumbi
iii) Pijini na krioli
5. Eleza jinsi nadharia ya kimazingira inavyohoji asili ya lugha.
(alama 22)
6. Fafanua umuhimu wa taaluma ya isimu kwa jamii. (alama 22)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes